MTOTO ALIYEZIKWA HUKU VIUNGO VYAKE VINGINE VIKIWA MAABARA FAMILIA YATOA TAMKO KAGERA.
HTML-код
- Опубликовано: 12 апр 2025
- MTOTO ALIYEZIKWA HUKU VIUNGO VYAKE VINGINE VIKIWA MAABARA FAMILIA YATOA TAMKO KAGERA.
#breakingnews #trendingvideo #live #livestream #trendingshorts #lifestyle #like #gadi
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.
wazazi tujaribu kukaa na watoto wetu nyumbani na tuwe nao makini sanaa oh
Acheni kuwapeleka watoto wadogo hostel mnataka nini?Lea mwe nyewe mtoto,acheni hayo
Safi kabisa ushauri mzuri
Ni ushauri mzuri lakini unakuta wazazi wote wanaenda kazini asubuhi kurudi usiku au jioni sana, wadada nao wamekuwa changamoto, mtu anaona bora bording kuliko wadada wakazi, dunia imebadilika jaman, sasa wazazi kama hawajafanya kazi mtoto atasomaje, tutaishije! Mungu tusaidie tu maana watoto tunawapenda sana lakini hatuwezi kuwahudumia kama kazi hatufanyi, labda tu kwa wale wenye wanaume wana kipato kizuri, bas wanawake tubaki nyumbani tulee watoto,
Na mbona ukampeleka mtoto boarding akiwa mdogo hivo
Watoto tujilelee wenyewe Mungu tusaidie, mimi naogopa ata kipeleka kwa ndugu napambana mwenyewe tu lakini zaidi siwezi kujisifu bali namtukuza Mungu aliye juu kunipa ujasiri huu japo napitia changamoto
Uko sahihi dada hizi bording wanalazimisha watoto kukaa huko sio poa mtoto lea mwenyew fundisha maadili mazuri mzazi/mlezi mpaka hatua ambayo mtoto ataweza kujitegemea na kujitambua kipi chema kipi kibaya na UPI ni unyanyasaji
@winfridambwambo9830 hakika
Nikweli mimi wakwangu napambana nae tangu utotoni mpaka now 10yrs sitaki kumpeleka hata kwa mtu nakama kwenda naenda nae narudi nae
Pole! Sana dada kwa changamoto ya kupoteza mtoto.
Hv wazazi bado wanaacha watoto wao kwenye hiyo shule! Siwezi
Du wanadam wamegeuka kuwa wanyama, sku izi mwanadam ndo anaogopwa kuliko mnyama😔😔😔
Sasa kweli hakuna Aliye kamatwa wakati Wapo walezi na walimu Hapo Shuleni nahizo Taarifa za huyo kijana Zimetoka wapi. Au ndiyo Ushilikina wa hapo Shuleni
Pole Sana 😢 MUNGU akutie nguvu Kwa kipindi kigum ulicho kua nacho❤
Dah Mungu awe mtetezi watoto wetu...kiumbe mdogo hv alimkosea nn huyo mtu jmn😢😢
She was such a cute angel! May she rest in peace! And all who has been involved to be punished by God!
Kwakweli hii nchi jamani mwenye pesa ndiyo mwenye haki!! Yaani mtu analinda sifa ya shule badala ya kuwajibika!! Tz kulindana kwingi, vifo vya namna hii havitaweza kuisha! Polisi nao wakihojiwa wanajibu kwa ukali utadhani aliekufa ni mfugo hawana tone nzuri kabisa!! Jamani kuwa polisi ndiyo muwe wakatili msio na huruma? 😢
Mtoto wa darasa la nne anajua kuingilia bint mpaka afee?? Walimu acheni kujitia hamnazo mnakwepaje hii adhabu yan wakat kuna midudu ya watu wazima huko imesababisha hiki kifo
Hali ni mbaya! Hivi mzazi atakuwa naimani gani yakumpeleka mtoto shule?kila sehemu ni hatari kwa watoto hata shule pia,tuwafiche wapi watoto ili wawe. Salama?
Hii shule ifungwe jamani. Shule gani y'a private hii isiyoangalia watoto jamani?
Poleni wafiwa ,mbona walimu mnaitia ila hii fani acheni bwana ualimu maadili.
mtoto mdogo kwanini umpeleke boding yesu wangu 😭😭😭😭😭
Mwalim akamatwe aojiwe kwanza na kipigo atasematu ukweli. Inshaaallah. .
Innalillah wainaillah rajuun yaarab tunusuru waja wako pamoja navizazi vyetu
Hilijambo lifwatiliwe huyu atakua mwalimu mwenye uchafu huu ndie ambae ana dudu kubwa la kumuuwa mtt lakini sio watt kwa watt huo ni uwongo
Sio mtoto alie mungilia ni mtu mzima hao hao walim ndo walikuwa kwa sababu walimuona mtoto mzuri maskin
Mtoto mdogo anauzuri gani jaman,,hii roho iliyo ingia kwa baadhi ya wanaume inatisha
Mungu simamia maombi ya waja wako.
Hyo shule haifai. Wazazi wachunguze na watoto wao wanaosoma hapo
Jaman watoto wadogo muwalee wenyewe mpaka wajitambue
Mimi marufuku kumpeleka mtoto mdogo boarding watoto wananyanyaswa hivyo? Wanadamu hawana utu kabisa wamekuwa kama wanyama
Mtoto mzuri jmn rip😢😢😢
Mwalimu wake Anajua kilakitu Akamatwe Ahojiwe
😂😂 mtoto kabakwa hosp imesema police asema sumu sijui ni sumu gani hio au ndio rushwa alio ) pewa mkuu wa kituo cha police
Poleni sana wanafamilia
Poleni sana wana familia......
Hapo inatakiwa haki itendeke kuna siri nyuma ya Pazia hiyo shule ifungwe tu hamna jinsi
Kwakweli walaaniwe wote walofanya hivyo na hao walimu
Nyoko siku akibakwa mwanao hutokata sm hiyo shule siifungwe tu hiyo chanzo imeanzia shuken kwenu
SASA KWANINI WAMZIKE HUKU VIUNGO HAVIPO?KAMATA WOTE HAO
Yesu wa msalaba watie moyo watu hawa
Mtoto wa faraday la nne Hana msuli wa kumuuwa mtoto labda kuku
Yani uyo Mkuu ,ntamuoa,awe ke au me
Pole mrembo jamani Allah akufanyie wepesi jamani pole sana
Duu unyama kweli dawa wasomewe alribadili kila aliehusika awe chizi na aseme alivyofanya ilo tukio iwe fundisho maeneo hayo pele sana wazazi na wana familia
Halafu huyu ni mtoto wa pili Kwa mwaka huu nae kafanyiwa kitendo hichohicho na umri wake ni huohuo.unampeleka mtoto hostel mazara ndio hayo
Inasikitisha sana ila wazazi tuache kuwapeleka watoto wadogo katika shule za kulala. Miaka 8 ni mtoto mdogo bado anahitaji mapenzi ya wazazi kwanza sheria mwaka jana si zilisema hakuna watoto chini ya miaka 12 kulala shuleni? Watoto wanabakwa wengi tu na wazazi hawajui
Mmmmh😭🙌
Aisee shule hii ifungiwe na walimu wote mpaka matron ndano wapewe kipigo cha aswa wata sema na atakae julikana anyongwe mara moja huu ukatili gani wanawake nje kibao walivyo jaa una baka mtoto
Hiyo shule ifungwe na kufutiwa usajili
Hivi kabakwa mtoto mmeoma hafu sumu Tena emu acheni janja janja
Walimu walimpididi mtoto wakaona wampe sumu ili wapoteze ushahidi
Dunia simama mie nishuke mbona watu wamekuwa makatili hivi jamani😢😢😢
Huyo mama Samia atafanya mangapi?wazazi mnapenda kukimbia majukumu,hizo boarding mnazoendekezaaa na bado mnatoa hela alaf mnalipwa mabaya..Hatari kabisa
Hivi masikini tulimkosea nini mungu.Mbona tukipatwa namatatizio kusadiwa nikwanadra sana kwsusumbufu mkubwa watu wanalia wanaumia lakini wenye uwezo wanadunda tu ,hivi hizi pesa ziliwekwa kwamatajiri watutese watunyanyàpae.Hki iko wspi.Sote tunabeba mimba tunazaa kwauchungu,tunalea kwashida kwann wanyonge wakose hki wenye hla wapate hki.Embu tumwogope mungu jmn.
Limkuu la shule mungu alilaani jamani
Justice for the baby😢😢😢😢
Justice for Cwecwe
Yaraab wanusuru watoto wetu hawana hatia
Loh imauma sana mtoto kabakwa na dactar kakiri alafu police eti mtoto kapewa sum loh muogopeni mungu nyie mnasema uongo mtahukumiwa pesa ndogo zinawatowa roho watu jaman mtu kesha kufa tenden.haki muache mambo ya rusha jaman tz nyie loh
Mkuu wa shule aende tu ndani
Hivi huyo RPC ingekuwa niwanawe kafanyiwa ivo uchunguzi ungekuwa Bado Hadi Leo na hakuna yeyote angekuwa anedhikiliwa? @CHRISTIAN BELLA- SISI MASIKINI TUENDE WAPI?😢
Mtoto mnamsingizia kwasababu hayupo pengine ni mwalim alie mbaka ndio mana wanamsingizia mtoto
Mbona mm Samia tu atafanya vingapi uko Kagera akuna serikali jamani
Hajakukuta ndio maana omba mungu yasikukute ndugu
Mwanamke mzuri
Umeamua useme ikutoke🙈
Police msituone hatuna akili hiyo sumu nyie mmeitoa wapi😢
Jamani hii inauma sana
My Country TZ 😭
😢😢😢🙌🙌 duh
Iyo shule labda ndio dawa zke kamata mkuu wa shule
Kwahiyo Mel bora shule yake kulkothanmani ya mtoto
Wameisha pewa rusha
Hii shule ifuatiliwe Kimamilifu na Ikiwezekana Ifungwe kabisa
Muacheni ushamba kwani watoto wote wanaouwawa kiukatili wote ndo wako bodingi
Dawa kuwaroga tu hawa
Umewaza kama Mimi,Wala Haina haja ya media kila siku😢
Huu niutopolo yani hatawaalim wamekua mashetani sasa hapo shule itaongezeka
Shule ifungiwe hapo watoto wengi watakuwa wamebakwa shule ichnguzwd
😢😢
Madaktari muwee makin n kazi zenuu kula rushw ukifutwa kazi hiyo rushwa haitawasaidia afu mkumbuke pia nyie n wazazi pia mna watot km kuna weny hawan basi mnatarajiia kupat muache dhambiii n mjue kutoa vipimo sahihi mtu kabakwa mnasem bakteria familia polenii n uchungu san kwa ukatiliii km huo kwa mtot n hawo waalimu wasem ukweliiii wawekwee chini y ulinz wote
😅😅😅so sad akamatwe Hiro rimwarim..
Chukua Sheria mkononi
Kabisa
Dawa yao kuwaroga hao
Ku mm
Magufuli uko uliko